Vision & Mission

Our Motto - Kauli Mbiu

That they all may be one. 

Wote wawe na umoja.

Our Vision - Kusudi Letu

To let the world know the root cause of human suffering and equip people with knowledge that will help them continually overcome Satan’s deception in all areas of their lives.

Kujulisha ulimwengu kiini halisi cha mateso ya mwanadamu na kuwapa watu maarifa yatakayowawezesha kumshinda shetani na uongo wake katika kila sehemu ya maisha yao siku zote.

Our Mission - Jukumu Letu

Making brethren live holy lives so that they can inherit the kingdom of God – eating the good of the land here on earth and spending eternity with Jesus Christ in heaven.

Kuhakikisha ya kwamba waumini wanaishi maisha matakatifu ili waurithi ufalme wa Mungu – yaani kula mema ya nchi hapa duniani na hatimaye kwenda mbinguni kukaa pamoja na Yesu milele.

 

 Quick Links

 Join Our Mailing List

 Socialize With Us

 
arrowbullet2  Film Outreach Ministry
arrowbullet2  Children Ministry
arrowbullet2  Church Choir
arrowbullet2  Announcements
Mail Listing
 
facebook  youtube
Help us spread the gospel of Jesus Christ.